Hat-Trick ya Jaffary Kibaya, Mtibwa Sugar ikiichapa Northern Dynamo 4-0
#CafCC Mpira umemalizika kwenye dimba la Chamazi Dar es Salaam na Mtibwa Sugar wanaondoka na ushindi wa mabao 4-0 huku Jaffary Kibaya akianza na 'hat-trick'. FT: Mtibwa Sugar 4-0 Northern Dynamo.
#KonkiFootballNews #Subscribe #KombeLaShirikisho