EL MERREIKH KUONDOLEWA KLABY BINGWA|SIMBA WATUMA BARUA CAF |CEO BARBARA SIO MCHEZO. ๐ง๐๐๐ฅ๐๐๐ ๐๐ช๐ ๐จ๐ ๐ ๐. Klabu ya Simba Inapenda Kuutaarifu Umma Kuwa Imepeleka Barua Rasmi Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF Kuomba Uchunguzi Kuhusu Klabu ya El Merreikh ya Sudan Kuwachezesha Wachezaji Wawili Waliofungiwa na Shirikisho la Mpirabwa Miguu la Sudan, Katika Mchezo Namba 93 Wa Klabu Bingwa Afrika Dhidi Yetu Uliochezwa Machi 06 Mwaka Huu Khartlum Nchini Humo. Wachezaji Hao ni Ramadan Ajab na Bakhiet Khamis Ambao Walifungiwa Kutojihusisha na Michezo Kwa Miezi 6 Kuanzia Januari 21, 2021 Kutokana na Kila Mchezaji Kuwa na Mikataba na Timu Mbili Tofauti. Tunasubiri Kupokea Taarifa za Uchunguzi Kutoka CAF Juu ya Jambo Hili na Hatua Stahiki Zitachukuliwa. ๐๐ฎ๐ฟ๐ฏ๐ฎ๐ฟ๐ฎ ๐๐ผ๐ป๐๐ฎ๐น๐ฒ๐ Ofisa Mtendaji Mkuu Simba Sports Club Machi 09, 2021.