Content removal request!


UTAGUSWA: SIMBA SC WAMTEMBELEA MTOTO ALIYEOMBA KUWAONA AKIWA 'ICU', Ataja WACHEZAJI Wote kwa MAJINA!

UTAGUSWA: SIMBA SC WAMTEMBELEA MTOTO ALIYEOMBA KUWAONA AKIWA 'ICU', Ataja WACHEZAJI Wote kwa MAJINA! Kabla ya leo kuondoka jijini Dar es Salaam wachezaji walitembelea Hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika ICU ya watoto kumjulia hali mtoto Bakari Juma Seleman mwenye umri wa miaka 13 ambaye anaugua maradhi ya Autoimmune disease inayopelelea misuli ya mwili kupooza. Akiwa amelazwa hospitalini hapo kwa zaidi ya miezi miwili, Bakari aliomba kuonana na wachezaji wa Simba. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline