Kipa namba moja Nouridine Balora ambaye amekuwa akituhumiwa kukosa nidhamu ndani ya kikosi cha Biashara ya mkoani Mara anaelekea kwa wanajangwani Yanga Sc Club Kocha Amri Said amesema.