Content removal request!


MO Dewji Kuhusu Yanga Kuihujumu Simba, Ataja Wahusika Watakavyogharimu Soka la Tanzania

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba sc Ndugu Mohamed Dewji Mo, aeelezea mikakati ya Klabu hio kuelekea kuwa klabu bora zaidi Barani Afrika, akihutubia kwenye Serehe maalum iliyoandaliwa na Equity Bank ambao ni washirika wa Simba sc, Mo Dewji amewapa pole Wapinzani wao Yanga kwa mafuriko yaliyopo Jiji la Dar es salaam hususan Jangwani ambapo ni Makao Makuu ya Wananchi Yanga, Fuatilia Hotuba hii kufahamu mengineyo mengi SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1