Content removal request!


Polisi Tanzania vs Simba Sc - CCM Kirumba Mwanza

Kikosi Cha Simba Sc dhidi ya Polisi Tanzania ligi Kuu ya Vodacom 2020/2021 Mechi itachezwa katika uwanja wa CCM KIRUMBA MWANZA timu ya Polisi Tanzania ikiwa mwenyeji wa mchezo huu wa VPL 2021. #polisitanzaniavssimbasc #simbascvspolisitanzania#azamtv #azamsport2 #simbavspolisi #simbasc #polisitanzania