Content removal request!


Sofapaka vs Alub Africain

Ingawa timu ya Sofapaka imebanduliwa nje ya dimba la klabu bingwa bara afrika na timu ya Club Africaine kutoka tunisia kwa ujumla wa mabao 4-3 timu ya Sofapaka itasalia katika vitabu vya kumbukumbu kama timu pekee kutoka humu nchini iliyowahi kufika mkondo wa tatu wa mchuano huo kando na kuwa pande ya kwanza kuwahi kushinda timu yoyote kutoka afrika kaskazini.mwanhabari Victor Ogalle alihudhudria mechi hiyo katika uga wa Nyayo na anatuarifu zaidi.