Content removal request!


GHALIB SAID AMEFANYA JAMBO KUBWA KUSAFIRI NA TIMU | YANGA IKISHINDA CONGO ITAWEKA HISTORIA KUBWA MNO

MIRAJI MARAMOJA ANASEMA KITENDO CHA GHALIB SAID KWENDA NA YIMU CONGO NI JAMBO ZURI SANA HASA KWENYE MORALI YA TIMU ITAKUWA JUU ..... YANGA WAKISHINDA CONGO WATAWEKA RECORD KUBWA SANA NA HISTORIA MPYA ITASOMWA NA VIZAZI VINGI SUBSCRIBE CHANNEL HII UPATE UPDATE KALI KUTOKA KWETU.... ASANTE SANA