KOSAKOSA za SIMBA VS TZ PRISONS 0 - 0, KAGERE Ashindwa Kufurukuta Kikosi cha Simba kimeshindwa kutamba mbele ya Tanzania Prisons leo kunako Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam baada ya kulazimishwa suluhu ya kutofungana. Suluhu hiyo imewafanya Simba kugawana alama moja moja na Prisons ambao mpaka sasa hawajapoteza mchezo wowote kwenye ligi. Alama hiyo moja imewafanya Simba kuendelea kukaa kileleni wakiwa na alama 22 huku wakiwa wamepoteza mchezo mmoja mpaka sasa. Prisons mpaka sasa imecheza jumla ya mechi 11 na wakienda sare michezo saba huku wakishinda nne na wakiwa na alama 19 kwenye nafasi ya pili ya msimamo wa ligi. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li