Waliokuwa mabingwa wa ligi kuu ya soka humu nchini Gor Mahia walitoka sare ya bao moja kwa moja na Police FC kwenye mechi ya ligi kuu iliyokuwa na ushindani mkali iliyochezwa katika uwanja wa Kasarani. Wakati uo huo, Bidco United iliilemea Mathare United bao moja kwa sifuri. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCsports #KenyaSports #Football