Content removal request!


PEFECT CHIKWENDE WA FC PLUTNUMZ ATUA SIMBA SC RASMI,AITOSA AZAM

Taarifa kutoka Zimbabwe 👉 Azam FC ilipeleka ofa kunako FC Platinum wakiomba huduma za Chikwende. Platinum wakataka Tsh 116m 👉 Simba SC wakapeleka ofa yao ya Tsh 127m. Chikwende ameondoka jana Zimbabwe Yupo Tanzania Msemaji wa FC Platinum Chido Chizondo amethibitisha suala la kumzuia Perfect Chikwende kuondoka lisingewezekana 🗣️ "Bado haijathibitishwa ni timu gani, Ila kwa sasa tunaweza kuthibitisha kuwa anaenda Tanzania" 🎯 Taarifa za kuaminika, Perfect Chikwende anaelekea kujiunga Simba.