DK 15 ZA IBRAHIM AJIBU Kwa Mara ya Kwanza Akiitumikia SIMBA Msimu Huu Mchezaji wa kikosi cha Simba Ibrahim Ajibu ambaye katika msimu uliopita alitumikia kikosi cha Yanga ambapo kwa msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara Ajibu anatumikia kikosi cha Simba na leo ndio amecheza kwa mara ya kwanza tangu asajiliwe na Simba. Simba imecheza mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania na kutoka na ushindi wa mabao 3-1, Ajibu akiingia katika kipindi cha pili cha mchezo huo. https://www.youtube.com/playlist?list... https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho