Content removal request!


Tp MAZEMBE WAONDOKA DAR NA HOFU KUBWA

NAHODHA wa TP Mazembe, Rainford Kalaba, amesema kuwa kitendo chao cha kushindwa kupata bao lolote katika mchezo wa juzi Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa dhidi ya Simba kimewaweka katika nafasi mbaya ya kutinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. #DreamOnlineTv #TPMazembe #DrCongo