Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MECHI kati ya Simba na Ihefu imemalizika kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam wenyeji Simba wakiibuka na ushindi mnono wa bao 4-0. Ihefu walioonekana kuzidiwa mbinu na Simba waliruhusu kufungwa bao 3 katika kipindi cha kwanza mabao yaliyofungwa na Mohammed Hussein Dakika ya 15 na Meddie Kagere aliyefunga mawili dakika ya 19 na 40. Kipindi cha pili kilianza kwa kocha wa Ihefu Zuberi Katwila kufanya mabadiliko kwa kwa kuwatoa Juma Mahadhi na Omari Hamis nafasi zao zikachukuliwa na Joseph Kinyozi na Issa Ngoah mabadiliko yaliyoleta ahueni kwa timu hiyo na dakika ya 52 Kinyozi kidogo afunge bao lakini shuti lake likapanguliwa na beki wa Simba. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars