Tazama alichokisema Nugaz kuhusu 'Carlinhos' na 'Manji'
Alichozungumza Msemaji na Mhasishaji wa klabu ya Yanga Antony Nugaz baada ya Mchezo wao dhidi ya Biashara United ya mkoani Dodoma leo kwenye uwanja wa Benjamin mkapa na Yanga kuibuka na ushindi wa bao moja kwa bila.