Content removal request!


🔴#LIVE: TUZO ZA TFF, BOCCO, CHAMA, FEI TOTO, MUKOKO WASHINDA TUZO MBALIMBALI..

🔴#LIVE: TUZO ZA TFF, BOCCO, CHAMA, FEI TOTO, MUKOKO WASHINDA TUZO MBALIMBALI.. TUZO za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) msimu wa 2020/21, zinatarajiwa kutolewa leo Oktoba 21, 2021, kwenye ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam. Sherehe za Tuzo za TFF, litakuwa tukio la kuzawadia wanamichezo waliofanya vizuri kwenye mashindano yanayoandaliwa na TFF na matukio mengine yenye kuambatana na mpira wa miguu nchini, ambapo Mfumo wa Tuzo za TFF umegawanyika katika makundi mbalimbali, ikiwemo Tuzo za Kikanuni za mashindano, Tuzo Binafsi za wachezaji na waamuzi. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline