Content removal request!


Hii Hapa CV Ya Mchezaji Chico Ushindi wa Yanga| Video za Magoli na Uwezo Wake Uwanjani

Hii Hapa CV Ya Mchezaji Chico Ushindi wa Yanga| Video za Magoli na Uwezo Wake Uwanjani Chico Ushindi Wa Kubanza ni mchezaji mpya aliyesajiliwa na Yanga akitokea TP Mazembe ya nchini Congo. Chico akiwa na TP Mazembe amecheza mechi kadhaa na kuisaidia timu yake kupata ushindi katika mashindano mbalimbali yakiwemo Ligi ya Mabingwa Afrika. Chico ana uwezo wa kucheza kama namba 9 au 10 lakini pia kucheza kama kiungo mshambuliaji. Usajili wa Chico Yanga unatajwa kuwa na faida kubwa kwa Yanga kutokana na uwezo wake uwanjani wwa kufunga magoli. Bado haijawekwa wazi Yanga wamemsajili kwa gharama gani lakini tayari ameshatua kwa wana Jangwani na yuko tayari kuwatumikia mabingwa hao wa Kihistoria kutoka Tanzania