Content removal request!


Mbwembwe za CARLINHOS na TUISILA KISINDA Wafunika Uzinduzi wa JEZI ZA YANGA

Klabu ya soka ya Yanga Leo wametambulisha jezi zao za Msimu wa soka wa 2020/2021 . . TK TV Tulipata nafasi ya kuzungumza na Mwenyekiti wa tawi la Yanga umoja wa Tandale kwa Mtogole Waziri Jitu, Jitu ameisifia jezi hizo akisema jezi za Yanga ni bora kuliko ya Timu yeyote Afrika . . . . . #Carlinhos #TuisilaKisinda #Yanga #uzinduziwajezizayanga #jezimpyazayanga #yangasc