Content removal request!


SHANGWE ZA MASHABIKI WA SIMBA BAADA YA KUMFUNGA AL AHLY 1-0, MKAPA

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba na Al Ahly imemalizika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa wenyeji Simba wakiibuka na ushindi wa bao 1-0. Bao la Simba lilifungwa kipindi cha kwanza na nyota wao machachari Luis Miquissone katika dakika ya 30 kwa shuti kali baada ya kuwahadaa mabeki wa Al Ahly na kufanya kipindi cha kwanza kumalizika wakiongoza. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars