MBWADUKE: Hataree! Yanga hili pira mashine la Ramovic balaa/ Yaua 2-0/ Kocha asisitiza bado sana..!
Usisahau ku-subscribe, ku-share, ku-comment na ku-like...
UFAFANUZI
Hadi mapumziko umiliki wa mpira Yanga ilikuwa mbele kwa asilimia 57 na siyo 43% (ambazo zilikuwa za Namungo).
By Mhariri - Mbwaduke Stats "Spoti Next Level"