YAFICHUKA: Wachezaji Mbeya City Wapewa Milion 5 Kuifunga Simba| Stori Nzima Hii Hapa kuelekea mechi kati ya simba na mtibwa sugar habari zinasema kuwa mabossi wa klabu hiyo wameweka kiasi cha millioni tano kwa wachezaji wao wa mtibwa sugar kama watapata matokeo dhidi ya simba sio mara ya kwanza simba kucheza dhidi ya klabu iliyo ahidiwa fedha imecheza dhidi ya biashara united na pia dhidi ya mbeya city zote zikiwa zimeahidiwa fedha je hii inaweza ikawa manufaa kwa upande wa yanga kwenye mbio zao za kuwania ubigwa