Cheki walichokifanya mashabiki wa Simba nje ya uwanja wa mkapa baada ya mpira kuisha
Mashabiki wa Simba wakati wakiwa wanasubiria gari la timu yao litoke uwanja wa Benjamin Mkapa hili waweze kuwapongeza wachezaji baada ya kuibuka na ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Al Merreikh ya sudan mchezo wa hatua ya makundi mabingwa Afrika.