Content removal request!


EXCLUSIVE: MSUVA MOROCCO SITAKI KUISIKIA, RAIS KAFUNGIWA, ALIFUNGIA ACCOUNT ZANGU, WAMEPEWA SIKU 15"

Shirikisho la Soka Duniani FIFA limeiagiza Club ya soka ya Wydad Casablanca ya Morocco kumlipa Mchezaji Mtanzania Simon Msuva zaidi ya dola za kimarekani laki saba ( Tsh. zaidi ya bilioni 1.6) baada ya Mchezaji huyo kushinda kesi ya madai aliyoifungua dhidi ya Club hiyo.