ALICHOKISEMA MANARA Baada ya KUWAFUNGA NAMUNGO, AWATUPIA Dongo YANGA - "LIMEWASHUKA SHUU" KLABU ya soka wa Simba leo Mei 29 imeshuka dimba katika dimba la Majaliwa kuvaana na klabu ya Namungo FC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara... Kabla ya dakika 45 za kipindi cha kwanza kumalizika tayari Namungo wameshawakaribisha wageni wao simba kwa kichapo cha bao ( 1 - 0 ) lililowekwa kimiani na Steve Nzigamasabo.. Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Simba kuondoka na alama 3 kwa kuwachapa Namungo kichapo Hevi cha mabao ( 3 - 1) yaliyowekwa kimiani na Chriss Mugalu, Jon Bocco na la mwisho amefunga Benard Morrison.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline