Content removal request!


TAZAMA MAJEMBE MAPYA YA SIMBA YALIVYOTAMBULISHWA KWA MKAPA, JEAN BALEKE, ISMAEL SAWADOGO WOTE NDANI!

TAZAMA MAJEMBE MAPYA YA SIMBA YALIVYOTAMBULISHWA KWA MKAPA, JEAN BALEKE, ISMAEL SAWADOGO WOTE NDANI KABLA ya kuanza kwa mchezo wa ligi kuu bara kati ya Simba vs Mbeya City katika dimba la Mkapa, wachezaji wapya wa simba waliosajiliwa dirisha dogo wametambulishwa kwa mashabiki na kisha kukaa jukwaani kuutazama mchezo huo.