Content removal request!


MAGOLI Yote ya Simba Dhidi ya Majimaji 4-0

MAGOLI Yote ya Simba Dhidi ya Majimaji 4-0 KOCHA mpya wa Simba SC, Mfaransa Perre Lechantre ameanza vyema kibarua yake baada ya kuwaongoza Wekundu hao wa Msimbazi kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Maji Maji ya Songea mkoani Ruvuma katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Ushindi huo, unaifanya Simba SC imalize duru la kwanza la Ligi Kuu na pointi 35 baada ya kucheza mechi 15, ikiwazidi kwa pointi saba mabingwa watetezi, Yanga walio nafasi ya tatu na pointi tano, Azam FC wanaoshika nafasi ya pili. Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa Erick Onoka wa Arusha, aliyesaidiwa na washika vibendera Mohammed Mkono wa Tanga na Anold Bugado wa Singida, hadi mapumziko Simba SC walikuwa mbele kwa mabao 2-0, ambayo yote yalifungwa na Nahodha John Raphael Bocco ‘Adebayor’ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..