Content removal request!


AZAM FC INAJIPANGA VILIVYO KURUDIANA NA TRIANGLE, CHECHE ATAJA USHINDI TU

"Vijana wamesikitika na wasikate tamaa, watuombee dua, watusapoti tutapambana kwa ajili yao na kwa ajili ya timu yetu na nchi yetu, mpira umeanza sehemu ya kwanza, tuseme kama kipindi cha kwanza kimeanza lakini tutahakikisha kipindi cha pili tunapambana kwao kwa hali na mali ili tuweze kurudi na ushindi," alisema Kocha Msaidizi wa Azam FC, Idd Nassor 'Cheche', akiwaambia mashabiki wa timu hiyo. #TimuBoraBidhaaBora #AzamFC #TriangleUnited #CAFConfederationCup