Content removal request!


KAULI YA MSUVA BAADA YA GAME, SAMATTA KUZUIWA NA ASKARI WENYE SILAHA

Baada ya mchezo wa Madagascar dhidi ya Tanzania kumalizika kwa sare ya kufungana goli 1-1, tuliongea na mfungaji wa goli Ła Taifa Stars Simon Msuva amaye alielezea namna ambayo imewasikitishwa na kuvunjwa moyo na vitendo walivyofanyiwa wachezaji wenzake Samatta, Manula na Mwamnyeto.