Content removal request!


🔴#LIVE​​: SIMBA SC vs RED ARROWS ( 3 - 0 ) - KOMBE LA SHIRIKISHO, UWANJA WA MKAPA DAR..

🔴#LIVE​​: SIMBA SC vs RED ARROWS ( 3 - 0 ) - KOMBE LA SHIRIKISHO, UWANJA WA Mkapa DAKIKA 90 za mtanange wa kukata na shoka kati ya SIMBA vs RED ARROWS, zimemalizika kwa mnyama kupata ushindi wa mabao ( 3- 0) yaliyowekwa kimiani mawili na Benard Morrison na mshambuliaji Meddie Kagere. Simba tayari imetanguliza mguu mmoja kwenye hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika, watajihakikishia kutinga kwenye hatua hiyo Desemba 05, watakaporudiana na Red Arrows wakiwa ugenini nchini Zambia. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline