Content removal request!


Baba yake Lionel Messi apata ajali Argentina

Baba wa nyota wa klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi aitwaye Jorge Messi amepata ajali baada ya kumgonga mwendesha pikipiki ambapo amekamatwa na polisi mjini Rosario. #LionelMessi #EATV