Mtoto wa bondia maarufu Mike Tyson alimwambia baba yake kwamba anatamani kuwa mpiganaji kama yeye, lakini majibu ya Tyson yalikuwa ya kushangaza sana. Katika video hii, tunaangazia mazungumzo hayo ya kipekee ambapo Tyson anamshauri mwanawe juu ya changamoto za kuwa bondia na jinsi maisha yake ya magumu yalivyomfanya awe na nguvu za kustahimili. Tyson anafafanua sababu anayotaka mwanawe asijihusishe na mchezo wa ngumi, huku akisema alifanya yote kwa ajili ya kumuwekea maisha bora. Je, unadhani Tyson alifanya maamuzi sahihi kumzuia mwanawe kuwa bondia? Au angemuacha afuate nyayo zake? Niachie maoni yako kwenye sehemu ya comment. #miketyson #celebritynews #lifestyle #shortsfeed #shorts