Content removal request!


CESAR MANZOKI AFUNGUKA KUJIUNGA NA SIMBA.. AMPA NENO JEAN BALEKE

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV BAO la Sadio Kanoute katika dakika ya 56 limetosha kuipeleka Simba katika hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), huku wana fainali wa msimu uliopita, Coastal Union wakiaga rasmi michuano hiyo. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV