Content removal request!


SHABIKI WA SIMBA HAJAKUBALI, UTOPOLO WAMETUONA TUNABEBA UBINGWA

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars JAPO imetolewa katika michuano ya kimataifa, licha ya ushindi wa mabao 3-0 iliyopata mbele ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, Simba imeendeleza rekodi yake ya nyumbani kwa leo kutimiza jumla ya miezi 99 bila kupoteza ikiwa jijini Da es Salaam. Simba ilipata ushindi huo kwenye mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2020-2021, lakini imetoka kwa ushindi wa mabao 4-0 iliyopata Kaizer ikiwa kwao na kufanya itinge nusu fainali kwa jumla ya mabao 4-3. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars