Content removal request!


USIKU HUU INADAIWA MORRISON WA SIMBA SC AKAMATWA NA POLISI, APELEKWA CHANG'OMBE

Leo kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa ulichezwa mchezo derby ya Kariakoo wa Simba na Yanga ambar dakika 90 zilimalizika kwa sare 0-0, Yanga akiendeleza ubabe wa kutopoteza mchezo wowote wa Ligi Kuu.