Club ya Yanga leo imesaini mkataba mpya wa udhamini wa miaka mitatu na kampuni ya SportPesa wenye thamani ya Tsh Bilioni 12.033.