Content removal request!


EXCLUSIVE: MTANZANIA WA KWANZA KUCHEZA NA MESSI LIGI MOJA/ AVUTIWA NA KIBU DENIS, NKANE NA DIAMOND

C.E.O Manara TV Haji manara bado anaendelea na ziara zake nchini Marekani amekutana na Mtanzania anaecheza ligi kuu nchini Marekani Benard Kamongo ameweka wazi furaha yake kucheza ligi moja na nyota Lioner Messi huku akiweka wazi wachezaji anaowapenda nchini Tanzania kwenye upande wa Ligi kuu ya NBC.