Content removal request!


TB Joshua afariki dunia, kanisa lake lathibitisha, haya ni maneno yake ya mwisho

Prophet TB Joshua amefariki dunia. Taarifa hiyo imethibitishwa na kanisa lake la The Synagogue, Church Of All Nations kupitia ukurasa wake mwenyewe wa Instagram