Content removal request!


🔴#LIVE: YANGA vs RUVU SHOOTING ( 2 - 1 ) - LIGU Kuu BARA, UWANJA wa MKAPA, DESEMBA 06, 2020...

🔴#LIVE: YANGA vs RUVU SHOOTING ( 2 - 1 ) - LIGU Kuu BARA, UWANJA wa MKAPA, DESEMBA 06, 2020... NI Mtanange wa ligi kuu Tanzania bara kati ya Yanga Vs Ruvu Shooting, umechezwa leo Desemba 06, katika dimba la Mkapa jijini Dar.. Mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika, Yanga wapo mbele kwa bao ( 1 - 0) lililowekwa kimiani na Michael Sarpong.. Dakika ya 61, Ruvu Shooting, wana levo uwanja kwa kusawazisha kupitia kwa mchezaji wake, David Richard Olomi, akipokea pasi kutoka kwa beki wa Yanga, Bakari Mwamnyeto.. Dakika ya 66, Yanga wanaandika bao la ushindi kupitia kwa mchezaji wa Ruvu Shooting, Cassin Ponera, aliyejifunga.... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline