“Haikuwa vigumu sana kwa sababu siku zote nilikuwa najiandaa…” maneno ya mlinda mlango wa Simba SC, Ally Salim baada ya kupata ‘clean shit’ mbele ya #Wananchi. FT: Simba 2-0 Yanga #UFMUpdates #KariakooDerby #WataniWaJadi #NiSualaLaMudaTu #VinaMudaBasi #SimbaVsYanga #SimbaYanga #SimbaSC #YangaSC #SisiNiSoka #AzamTVMaxApp #10DaimaDamdam