Content removal request!


EXCLUSIVE:Meneja Habari KAIZER CHIEFS Afunguka Ukweli wote Kuhusu kuwapokea SIMBA,Tuliwapokea AHLY..

"Hatuwezi kuzungumzia kuhusu kuwapokea SIMBA kwa sababu hatupo katika Mashindano ya CAF hivyo Hatuwezi kusema chochote katika hilo tutakuwa na wakati mzuri wa kuzungumza chochote kuhusu Simba tutakaporejea na kukutana nao katika Mashindano hayo." "Kwa sasa hatupo naomba mtuache kwani hatuhusiki kwa lolote na wala hatuhitaji kusikia Lolote Juu ya Taarifa hiyo". Ameeleza Vina Maphosa Meneja Habari KAIZER CHIEFS Afrika Kusini alipofanya Mahojiano na Mussa Nkoningoo ©Mussa Nkoningo All Rights Reserved