PENATI Zote Simba VS Kakamega Homeboys 5 -4 Mabingwa wa soka Tanzania, Simba wamefuzu kucheza fainali ya SportPesa Super Cup baada ya kuichapa Kakamega Homeboyz kwa mikwaju 5-4. Mechi hiyo iliisha kwa sare ya bao 0-0 katika hatua ya dakika 90 za kawaida. Baada ya hapo ikawa ni mikwaju ya penalti na wachezaji wote watano wa Simba walifunga wakiongozwa na Jonas Mkude ambaye alifunga penalti ya mwisho. Instal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..