KOCHA wa SIMBA na SEVILLA Baada ya Mechi Kumalizika! Viungo wa Sevilla wanajua bora wa Promes na Ben Yedder, kwamba wanataka mipira ya aina gani na wakati upi. Unaweza kuona timu fulani inacheza na mpira hata dakika nne tano, wakichukua Sevilla wanakwenda kufunga kwa kuwa aina ya uchezaji wao ni kwa umakini lakini ni direct football. Lazima kutakuwa na burudani, maana unapoona Mohamed Hussein Zimbwe akipambana na Navas au Erasto Nyoni akihakikisha Ben Yedder hafurukuti kwa kuwa ni mchezaji mjanja, basi hiyo ndio itakuwa burudani yenyewe. Watakaokwenda uwanjani wanaweza kuwa na nafasi ya kufaidi zaidi namna burudani itakavyokuwa na Simba wasitarajie Sevilla watacheza “kishkaji” maana Wazungu, zaidi wanajali rekodi zao. #SIMBAVsSEVILLA Https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho