Content removal request!


AHMED ALLY APIGA KIJEMBE YANGA "MKITWAA UBINGWA MTAMSIFU KOCHA AU MGANGA"

Afisa habari wa Simba SC Ahmed Ally Leo ameamka na kuanza kuwatania watani zao wa jadi Yanga ambapo wametoka sare ya 0-0 jana dhidi ya Tanzania Prisons lakini kabla ya mchezo huo beki wao Djuma Shaban alionekana akichimbia kitu uwanjani.