Tazama kilichotokea baada ya gari la wachezaji Simba kutoka nje ya uwanja
Tazama kilichotekea baada ya gari lilokuwa limewabeba wachezaji wa klabu ya Simba kutoka nje ya uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya mchezo wa hatua ya makundi klabu bingwa Afrika kati ya Simba Sc dhidi ya Al Merreikh ya Sudan.