Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like. KUMRADHI Mzee wa Data anasema kuna mahala ameteleza kuhusiana na matokeo ya mechi za Yanga dhidi El Merreikh zilizochezwa Kigali, Rwanda na baadaye marudiano Chamazi, jijini Dar. Usahihi Yanga walipata matokeo ya jumla ya 3-0 baada ya kushinda ugenini 2- 0 na kushinda tena marudiano Chamazi 1-0. Mhariri-Mbwaduke Stats "Spoti Next Level"