KAULI ya SAMATTA Baada ya KUICHAPA LIBYA na KUTOLEWA AFCON - "TULITAMANI TUINGIE AFCON" NAHODHA wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) amesema walitamani sana kufuzu kwenye michuano ya AFCON lakini imeshindikana kwahiyo wanajipanga vyema mwakani ili waweze kushiriki michuano hiyo... Mchezo wa mwisho wa Taifa Stars wa kuwania kufuzu michuano hiyo wamecheza leo Machi 28, katika dimba la Mkapa dhidi ya Libya, na kufanikiwa kuwatandika bao ( 1 - 0 ) lilifungwa na Simon Msuva... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline