Content removal request!


Mazoezi ya Fiston Abdul Razack alivyoanza rasmi na Yanga akaribishwa na sebene

Mshambuliaji Mpya wa Yanga Fiston Abdul Razack rasmi akiwa ameanza Mazoezi na Timu yake mpya ya Yanga SC katika uwanja wa Avic Town Kigamboni.