Content removal request!


Egypt 1-0 Tanzania, Samatta, Kocha Wafunguka Kufungwa

FT: Egypt 1-0 Tanzania. PASHAPASHA YA AFCON 2019: Nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta baada ya mechi na Kocha wa Tanzania Emmanuel Amunike baada ya mechi anasema anakwenda kusahihisha makosa yaliyojitokeza kwenye mchezo wa leo kuelekea mchezo unaofuata.. . EgyptVsTanzania #MechiYaKirafiki #AFCON2019 #TaifaStars #AFCON #AFCON2019 #Egypt2019