Content removal request!


MORRISON atafanya jambo | Sikia Tambo za mashabiki wa Simba Mwanza

Wasikie mashabiki wa klabu ya Simba waliopo jijini Mwanza kuhuhudia mchezo wao dhidi ya Polisi Tanzania FC, mchezo utakao pigwa kwenye dimba la CCM Kirumba Jijini Mwanza.