Content removal request!


Benchi la Simba na Salamba wana hitaji maalumu

Stori ya mjini hivi sasa si matokeo ya mchezo wa Sevilla na Simba, ila stori kubwa ni namna gani mchezo huo ulivyomalizika hasa baada ya wachezaji wa Simba kuomba 'fair play' kwa wachezaji wa Sevilla. #SimbaSC #SevillaFC #EATV